Kero ya rundo la takataka za chupa zilizotumika Tabata Kimanga

Kero ya rundo la takataka za chupa zilizotumika Tabata Kimanga

Insidious

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2020
Posts
749
Reaction score
1,023
Kwa mamlaka husika, Afisa mazingira na NEMC

Naomba kuwasikisha malalamiko kuhusu mkusanyiko wa chupa za plastiki zilizotumika, kama inavyoonekana kwenye picha iliyoambatishwa. Eneo hili lipo Tabata Kimanga opposite ofisi ya serikali ya mtaa na pia karibu na sheli ya ATN na hali hii inasababisha kero kubwa kimazingira.

Picha inaonyesha rundo kubwa za chupa hizo za plastiki. Uwepo wa uchafu huu si tu kwamba kuna muonekano mbaya, bali pia kunaibua wasiwasi kuhusu usafi, usalama wa umma na athari kwa mazingira. Eneo linalozunguka ni karibu na makazi ya watu na cha ajabu karibu na ofisi ya serikali ya mtaa.

Hivyo, tunaomba chupa hizo ziondolowe na wahusika wachukuliwe.
IMG_0840.jpeg
 
Back
Top Bottom