doctor mwanafunzi
Member
- Jun 16, 2024
- 45
- 56
Kumekuwa na ukosekanaji wa waji katika baadhi ya nyumba eneo la tabata mtaa wa migombani (tembomgwaza) yaan maji yanatoka kwa kuchagua nyumba baadhi, takribani wiki tatu sasa. Wananchi hawaelewi ni Dawasco au kuna uhuni wa ukataji wa mabomba. "Tunaomba serikali itusaidie kufuatilia kwa kuihimiza dawasco maana hatuna huduma ya maji kabisa mpaka sasa na kwa hali ya joto la dar es salaam ni changamoto kuishi bila kuoga" alisema mmoja wa mkazi wa mtaa huo.