A
Anonymous
Guest
Usafiri wa Mabasi ya Newala, Mtwara ni changamoto sana na ni shida ya mda mrefu sana.
Wafanyabiashara wa mabasi wanafanya biashara kwa kubahatisha; service hazifanyiki vzur na kwa wakati hali inayopelekea magari kuharibika sana njiani na hta kuweza kusababisha ajali barabarani.
Naomba serikali iliangalie hili jambo kwa umakini sana
Hapa ninapopost hii Thread gari limeharibika tena mapema sana tumetoka Newala mjini saa 12 asubh saa 1 limeshaharibika tumekaa tu kuwasubiria walirekebishe. Kwa kweli ni kero sana
Pia soma: KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?