boufer
Member
- May 9, 2014
- 64
- 54
Juzi wakati narudi nyumbani mida ya saa 1 usiku nilikutana na vitoto viwili vya kike vimeshika juzuu nikauliza mnatoka wapi mda huu, wakanijibu wanatoka MADRASA, aisee kwa ule mda nilishindwa kuvumilia nikaenda nao hadi kwa WAZAZI wao, nikawauliza wazazi hawaoni hatari kwa watoto wao kutembea usiku, wakajibu yakuwa USTADH anataka watoto watoke baada ya kuswali swala ya MAGHARIB,
Kiukweli huu utaratibu urekebishwe, kusiwe na darasa la kuwatoa watoto usiku sahizi mambo yameharibika watoto wanatekwa na kuuliwa kila leo, najua wana haki ya kijifunza dini yao ila uwekwe utaratibu sahihi wa watoto kurudishwa nyumbani mapema,
SAMAHANI KM KUNA WATU NITAKUWA NIMEWAKWAZA