Allen mwamunyange
New Member
- May 21, 2024
- 3
- 1
Mbeya city council viongozi wamekosa uwajibikaji kabisa baada ya kuwasilisha kero ya ubovu wa miundombinu ya barabara ndani ya stand ya nane nane , kumekuwa na vifusi vilivyo mwagwa ndani ya stand kwa zaid ya wiki mbili baada Tu ya kuwasilisha kero hii .
Ombi langu kwa mamlaka husika zichukue hatua pamoja na kusambaza vifusi ambayo kwa sasa vimekuwa hatari kwa watumiaji wa stand hii.
Ombi langu kwa mamlaka husika zichukue hatua pamoja na kusambaza vifusi ambayo kwa sasa vimekuwa hatari kwa watumiaji wa stand hii.