Kero ya wageni: Umewahi kutana na gari mbele yako dereva anakata huku na kule kila akifika kwenye tuta?

Kero ya wageni: Umewahi kutana na gari mbele yako dereva anakata huku na kule kila akifika kwenye tuta?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Wenye gari za chini kama crown wanafanya hivi kukwepesha gari isiparuze, ila unakuta mtu anendesha Harrier, Rav 4, carina, xtrail, n.k zipo juu, kuna haja ya kufanya haya?

Mbaya zaidi kusiwe na namna ya kumu overtake, hata umpigie honi kwamba una haraka hakuelewi.
 
Lengo la kufanya hivyo ni kupunguza ukinzani wa tuta.

Unapoliingia tuta kwa upande mmoja inasaidia pia kupunguza mtikisiko wa gari.
 
Lengo la kufanya hivyo ni kupunguza ukinzani wa tuta.

Unapoliingia tuta kwa upande mmoja inasaidia pia kupunguza mtikisiko wa gari.
Kwa gari zilizo chini kama crown sawa, ila unamkuta mtu ana gari kama harrier, carina, rav 4, xtrail, anafanya hayo mambo
 
Back
Top Bottom