ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,998
- 2,242
Habari wakuu?hivi kuna sheria au ni makosa watu kudrift magari yao ile kuzungusha gari kwenye barabara ya kawaida. Je nikichukua jiwe na kurushia lile gari na kupasua kioo itakua ni kosa?naweza kushtaki wapi? Huku kwetu mwananyamala kuna wadau wa magaari yao wanakuja mtaani na kudrift magari sehemu yenye watu na kusema kweli ni hatari na inahatarisha maisha. Kitu gani naweza kufanya?