😂😂 we rusha tu mkuu akienda kushtaki na wewe ndo unasema kero zakoJe nikichukua jiwe na kurushia lile gari na kupasua kioo itakua ni kosa?
Usirushe jiwe hao wakishuka watakupiga mpaka wakuue rafiki yangu ,wewe kawashitaki mamlaka sahihi itawachukulia sheriaHabari wakuu?hivi kuna sheria au ni makosa watu kudrift magari yao ile kuzungusha gari kwenye barabara ya kawaida. Je nikichukua jiwe na kurushia lile gari na kupasua kioo itakua ni kosa?naweza kushtaki wapi? Huku kwetu mwananyamala kuna wadau wa magaari yao wanakuja mtaani na kudrift magari sehemu yenye watu na kusema kweli ni hatari na inahatarisha maisha. Kitu gani naweza kufanya?
Inaelekea wako juu ya sheria maana taarifa zishaenda sana polisi kuhusu hii kero mtaa wa uporoto pamoja na maeneo ya soko la bwawani lakini wanazid kuongezekaHabari wakuu?hivi kuna sheria au ni makosa watu kudrift magari yao ile kuzungusha gari kwenye barabara ya kawaida. Je nikichukua jiwe na kurushia lile gari na kupasua kioo itakua ni kosa?naweza kushtaki wapi? Huku kwetu mwananyamala kuna wadau wa magaari yao wanakuja mtaani na kudrift magari sehemu yenye watu na kusema kweli ni hatari na inahatarisha maisha. Kitu gani naweza kufanya?
Chukua boda boda toka mbali, vaa kininja au mavazi yoyote yatakayoficha utambulisho wako, halafu uwe na manati, ukae eneo la tukio. Fyatua jiwe moja , halafu kimbia na bodaboda kwa mwendo wa vishandu (wezi wa simu). Nenda mbali, kabadili nguo.Habari wakuu?hivi kuna sheria au ni makosa watu kudrift magari yao ile kuzungusha gari kwenye barabara ya kawaida. Je nikichukua jiwe na kurushia lile gari na kupasua kioo itakua ni kosa?naweza kushtaki wapi? Huku kwetu mwananyamala kuna wadau wa magaari yao wanakuja mtaani na kudrift magari sehemu yenye watu na kusema kweli ni hatari na inahatarisha maisha. Kitu gani naweza kufanya?
Kama watakuwa na manati ya mzungu watamkata masikio .Chukua boda boda toka mbali, vaa kininja au mavazi yoyote yatakayoficha utambulisho wako, halafu uwe na manati, ukae eneo la tukio. Fyatua jiwe moja , halafu kimbia na bodaboda kwa mwendo wa vishandu (wezi wa simu). Nenda mbali, kabadili nguo.
Kazi ya traffic hiyo mkuu toa taarifa kwao kuwa eneo fulani pana vitu vinaendelea wao watawakamata na kuwapiga fine.Okay kwahiyo nifanye nini?nina hofu kuna simu gari utakosa controll na kuvamia watu.