Una miaka 34 sing
😳Ila bro unakauli zisizobariki....I don't know why? Hivi upo perfect Sana eti?Katika huo utafiti wa waume za watu,
Walikutafuna wangapi mpaka kukamilisha huo utafiti wako?
Kwa tabia hiyo ndio maana hujaolewa,unarukia waume za watu tu,
Namuonea huruma atakayekuja kuowa hilo Daladala analopanda kila abiria.
ahahah 😂 lipojeWewe siwa unique fulawa nimependa tu jina lako
Lipo kiutamaduni fulani linavutiaahahah 😂 lipoje
Nadhani ni vyema unavyochagua kukaa kimya...tupo duniani yatupasa kupitia hayaTena huyo kila akinikutaga mahali lazima anipe maneno makali sijui ana shida gani...
Kabiiiiiiiiiisa lo hakuna wa kudanganywa wala nenee !
Sasa akiumwa si atakuletea na wewe?au siku hizi humping gudigudi?Huyu baba habadiliki aiseee,nilimuombea tena kwa kufunga na kumtolea sadaka madhabahuni akapandishwa cheo yaan hajahama bado ameshaambia michepuko mtakuwa mnakuja wkt huo mi hajawahi niambia hata siku moja kwamba ntakuwa naenda, na sihangaiki nae tena sababu nimegundua anafanya makisudi, kwao ndio wako hivohivo wakiumwa ndio wanatulia
Imani yangu itanilinda, uzinzi wa mme wangu hautaniua mimi, biblia inasema mshahara wa dhambi mauti siwezi kufa na ukimwi ambao cjautafuta ndio maana mtaani wajane wengi kuliko wGaneSasa akiumwa si atakuletea na wewe?au siku hizi humping gudigudi?
Si uachane nae kwan umeshikwa hapoYaan umeongea kama mme wangu likifika suala la umalaya ni mnafki huyu baba sijapata kuona anatoa siri za familia anawwaambia michepuko yake kutwa kunikandia mama yake hanipendi utazan mimi nna shida ya kupendwa,ila michepuko yake inamfaidi maana anaipa sanaaa kipaumbele kuliko mimi na akizaa kwao wanafurahiii sana
AmiiiiiiinaYesu akutunze,na akupiganie pia
Kwa kwelii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anapanic mnoo
Nijue kwanza jinsia yako kama hutojali I'd yako imenichanganya ila nimetamani kudiscuss na weweYote uliyoandika mtoa mada ni ya kweli. Hayo ni mabaya Yao.
Pia Kuna Kwa upande wa mazuri ya Mume wa mtu ni;
- Sio ving'ang'anizi hata wakufumanie na mtu mwingine Kesi Huwa ni ndogo tu na hauachiki.
- Kwenye mgegedo wapo huru kuufanyia staili zote kuliko hata Kwa wake zao
- Ni rahisi sana kukutoa out kuliko anavyomtoa out mke wake
Mie kuna mawazo na fikraa, huwa zinanijia kichwanii, inakataa sanaa.Eti kuna mdau kasema unashushwa kwenye gari baby shuka wife anapiga simu,na ni saa tano usiku nyieee matesooo