Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Wakuu ndugu zetu kule upande wa Visiwani naona kwasasa hawaoni Kero za Muungano kabisa, Nimeona wabunge wao majority wanapiga kelele kukemea activists wanaokuja kutoka Nje ila Mambo ya Muungano wameweka Pembeni kabisa
Kulikoni tena ndugu zetu?
Wametulia sana ndugu zetu hawaItakuwa wanaramba asali. Wameajiriwa wengi serikalini hadi dongo beshi ndani ndani kwao ngedere ngabu huko!
Itakuwa wanaramba asali. Wameajiriwa wengi serikalini hadi dongo beshi ndani ndani kwao ngedere ngabu ππππ
Wametulia sana ndugu zetu hawa
Kaka na dada wanaongoza nchi mbiliWakuu ndugu zetu kule upande wa Visiwani naona kwasasa hawaoni Kero za Muungano kabisa, Nimeona wabunge wao majority wanapiga kelele kukemea activists wanaokuja kutoka Nje ila Mambo ya Muungano wameweka Pembeni kabisa
Kulikoni tena ndugu zetu?