All truth23 JF-Expert Member Joined Jul 19, 2022 Posts 1,215 Reaction score 1,401 Jul 28, 2022 #1 Leo Hapa Shinyanga maeneo ya Maganzo tumesimamishwa kwa zaidi ya Masaa 2 kisa tunasubiri Mwenge upite tu Ila ki ukweli ni kero maana ebu ona mtu anaenda Mbeya afu unamsimamisha njiani ZAIDI ya Masaa 2 hii kero sana Wahusika wazingatie hili kwa kweli. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Leo Hapa Shinyanga maeneo ya Maganzo tumesimamishwa kwa zaidi ya Masaa 2 kisa tunasubiri Mwenge upite tu Ila ki ukweli ni kero maana ebu ona mtu anaenda Mbeya afu unamsimamisha njiani ZAIDI ya Masaa 2 hii kero sana Wahusika wazingatie hili kwa kweli. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,053 Reaction score 10,032 Jul 28, 2022 #2 Vituko kwa kweli
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 Jul 28, 2022 #3 Hicho kibatari hakina maana kwenye ulimwengu WA sayansi na teknolojia
All truth23 JF-Expert Member Joined Jul 19, 2022 Posts 1,215 Reaction score 1,401 Jul 28, 2022 Thread starter #4 Mwanakwetuuu said: Hicho kibatari hakina maana kwenye ulimwengu WA sayansi na teknolojia Click to expand... Unasimamisha Mabasi masaa 3 kweli kwa ulimwengu huu wa sasa wa Muda Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mwanakwetuuu said: Hicho kibatari hakina maana kwenye ulimwengu WA sayansi na teknolojia Click to expand... Unasimamisha Mabasi masaa 3 kweli kwa ulimwengu huu wa sasa wa Muda Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Jul 28, 2022 #5 Tuombe tupate katiba mpya na tuondoe vitu vya ajabu kama hivi. Yaani mwenge unaheshimiwa kuliko watu wenye nchi yao?
Tuombe tupate katiba mpya na tuondoe vitu vya ajabu kama hivi. Yaani mwenge unaheshimiwa kuliko watu wenye nchi yao?