Kero za Mwenge Barabarani

Kero za Mwenge Barabarani

All truth23

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
1,215
Reaction score
1,401
Leo Hapa Shinyanga maeneo ya Maganzo tumesimamishwa kwa zaidi ya Masaa 2 kisa tunasubiri Mwenge upite tu

Ila ki ukweli ni kero maana ebu ona mtu anaenda Mbeya afu unamsimamisha njiani ZAIDI ya Masaa 2 hii kero sana

Wahusika wazingatie hili kwa kweli.

IMG_20220728_100515.jpg


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tuombe tupate katiba mpya na tuondoe vitu vya ajabu kama hivi.
Yaani mwenge unaheshimiwa kuliko watu wenye nchi yao?
 
Back
Top Bottom