Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu

Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani hata uchi ajiachie apigwe upepo lakini anashindwa kwasababu ya kupigwa jicho kwa juu

Ipo mikoa mingine wamefikia hatua ya kuwakatalia majirani wanaotaka kujenga maghorofa ili waendelee kuishi kwa uhuru mfano Tanga na kwingineko

Kero hii ya kuchunguliwa kwa juu ni mbaya sana na omba isikukute utatamani kuuza nyumba
 
Back
Top Bottom