Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

Hili jambo lake linachekesha, habari kaileta vizuri ila mrejesho hatoi kirahisi...mi style aliyonipea mrejesho nilicheka sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kakupa pm naona wadada ndio wanapewa mrejesho sijui nia yake nini[emoji1787][emoji1787]
 
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu unatoa pm mbona muda unatuambia tukuombee hukutufata pm embu tupe mrejesho
 
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.
Vyama vya siasa vivunje sheria vyenyewe alafu wakulaumiwa awe Rais Samia? Hapana aisee. Samia anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza
 
Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu mwaka 2020 hadi mababu na mabibi wangetulaani Kura yangu nilimpa Rais Samia tu.
 
Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu mwaka 2020 hadi mababu na mabibi wangetulaani Kura yangu nilimpa Rais Samia tu.
Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…