Ile tulianza na writen kufunua pepa tu Physics, Hesabu na Industry Chemistry za kufa mtu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nafasi zilikuwa mbili mshara ulikuwa kufuru na alowance zingine, maana hadi watabe kutoka nje walikuja.. Furukuta na kufurukuta sina scientific calculator mzee naazima azima tu, nikaonekana sipo serious nikaishia tazama mapaja ya Snr HR kupoza mahasira .. pepa inakuja nimepata 70% .. kuna wanga walitoboa zaidi ya hapo. Nikafunga virago hasubuhi na mapema.. huyo home.. na ndio ikawa interview yangu ya mwisho.. hadi leo sijawahi tena fanya interview