Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

Kwa Uwezo wa Mwenyezimgu Utafanyikiwa. Na mimi binafsi ntajitolea muda wangu ili nikufanyie Dua maalum itakao kurahisisha na kukufanyia wepeci ktk jambo lako hilo muhimu. Chakufanya unitumie majina yako halisi kwa mesage. Lakini yale uhitwavyo au yalioandikwa ktk mtihani unaokwenda kufanya. Utafanyikiwa kwa uwezo wa Allah bila pingamizi.
Zidisha umakini bila kua na hofu. Mwenyezimgu upo pamoja nawe....
 
Kila la heri. Mungu akufanyie wepesi.
 
Utasikia viongozi. Vijana hawataki kufanya kazi wapo kijiweni. Vijana mjiajiri
Ukimuangalia yeye ana miaka 10 ameajiriwa, anaroga mpaka anaiba kura ili aendelee kula pesa za serikali.
Mungu anawaona viongozi wababaishaji na bila shaka mama yetu Samia atawafagia wooote
 
Usi over-dress, wala under-dress, usiwe over confidence wala under.., usitumie kilevi kabla ya interview, usivae chain, Pete miwani (labda iwe ya macho), usisahau kuvaa saa, weka simu silent, do homework ya mission na vision ya iyo NGO, usicheke cheke, ukikaa kaa bila kukunja 4 wala kutikisa miguu, usikunje mikono kama boss,.. dadeq
 
Inshallah utatoboa,siri hapo ni kujiamini tu kwa swali lolote litakaloulizwa ujibu kwa utulivu
 
Hongera dogo.
Lile swali tell us about yourself usijielezee kijerumani!πŸ˜‚πŸ˜‚
Usijielezee ulipozaliwa jielezee kuhusiana na kazi unayoomba.

Why do you think we should hire you??
Jiachie hapo! Jimwage! Jinadi!
Tulishaachana na kina boss, tukaona tuwe maboss wenyewe maporini!

All the best! Utafanikiwa.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ya kuandika huwa nyepesi sana.
 
Mungu akupe kibali kwahao watu utakaokutana nao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…