Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mother asante sana kwa busara zakoUkipita jua ni fungu lako,ukikosa usilalamike mshukuru Mungu kwa kila jambo,.
Kwa Uwezo wa Mwenyezimgu Utafanyikiwa. Na mimi binafsi ntajitolea muda wangu ili nikufanyie Dua maalum itakao kurahisisha na kukufanyia wepeci ktk jambo lako hilo muhimu. Chakufanya unitumie majina yako halisi kwa mesage. Lakini yale uhitwavyo au yalioandikwa ktk mtihani unaokwenda kufanya. Utafanyikiwa kwa uwezo wa Allah bila pingamizi.Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea. Je, Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?
Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.
Nakupata mkuu🤝JF ndio kama maskani kwangu mkuu
Sawa mzee baba
Mshahara wa tarakimu 7 bado sana mkuu ndio nipo ninapambana na interviews kwanzaAsante tumejua unaenda kupokea mshahara wa tsrskimu 7
Asante mkuuKila la Kheri. Mungu akutangulie.
Amen. Thanks my loveMungu Akupe hitaji la moyo wako
Mungu anawaona viongozi wababaishaji na bila shaka mama yetu Samia atawafagia woooteUtasikia viongozi. Vijana hawataki kufanya kazi wapo kijiweni. Vijana mjiajiri
Ukimuangalia yeye ana miaka 10 ameajiriwa, anaroga mpaka anaiba kura ili aendelee kula pesa za serikali.
Thanks brotherKila la kheri.
Ya kuandika huwa nyepesi sana.Hongera dogo.
Lile swali tell us about yourself usijielezee kijerumani!😂😂
Usijielezee ulipozaliwa jielezee kuhusiana na kazi unayoomba.
Why do you think we should hire you??
Jiachie hapo! Jimwage! Jinadi!
Tulishaachana na kina boss, tukaona tuwe maboss wenyewe maporini!
All the best! Utafanikiwa.
Everyday is Saturday............................... 😎
Sawa mkuuNakupata mkuu🤝
Mungu akupe kibali kwahao watu utakaokutana nao!!Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?
Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...www.jamiiforums.com