OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
He he he[emoji3][emoji3][emoji3] kila mmoja na aombe kwa jinsi atakavyoguswa.Niombee peke yangu kwa maana hao wengine hawajaomba msaada wa namna hii.
Hii sio sahihi Soja amevunja Ego yake mpaka kuja hapa (kajishusha) inapaswa apandishwe pekeyake.
Duu kwahiyo hana interviewUsimuamini sana soja kila wakati
OkayHe he he[emoji3][emoji3][emoji3] kila mmoja na aombe kwa jinsi atakavyoguswa.
Trust me, nilifanya oral interviewDuu kwahiyo hana interview
Minaamini Boss usinisaau ajira na BookTrust me, nilifanya oral interview
Kwanini asimuamini sana soja kila wakati?Usimuamini sana soja kila wakati
Wenge la kimombo..Daaah, kwa saa 50,000? Tanzania hii hii mkuu?
Daaah, noma sanaWenge la kimombo..
Na sisi utukumbuke kwenye mshahara wako!Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?
Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...www.jamiiforums.com
OkayO
Na sisi utukumbuke kwenye mshahara wako!
How was it BrotherOkay
NitawajulishaUshatoboa mkuu au konekshen!?
Mungu yu pamoja namiMambo kama haya huwa hayatangazwi hadharani hata kama unatumia fake I d wanga wengi shauri yako dogo
Asante sanaKila la kheri...
Oyaaa oyaaa usisaau haiwezekani hadi leo sijaoa kisa ujua kaliMungu yu pamoja nami
Kuna watu wa rika lako wameoa lakini ndoa zimekwishavunjika. Amini ya kuwa muda wa Mungu ndio muda sahihi.Oyaaa oyaaa usisaau haiwezekani hadi leo sijaoa kisa ujua kali