Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

2018 niliitwa pia kweny NGO moja hivi ipo kule ushuani
Nilifanya written interview na oral siku hiyo
Baada ya week mbili niliitwa tena kufanya Oral ikiwa ni ya Pili hii ukiacha ile ya kwanza hii ilijikita zaidi kweny taasis husika na bada ya interview nilipata nafas ya kufahamishwa miradi iliyo kua ikisimamiwa na hiyo NGo pia nilipata kufahamu taratibu zote za ofice husika na jamaa wali niambia kabisa kua we ndo mtu tunae kuhitaji kwa hiyo ume fit hii nafas nikapewa ahadi ya kupigiwa simu j3 nifike ofis husika na vyeti na ishu nyngnezo za kiofis bas nika ondoka pale nikiwa natumain kubwa kua ile kazi. Nime ipata na ukizingatia nili fanya vzur zile interview zote
Ajab j3 ilifika nikawa nasubiri sim yao naona kimyaaa
Nika subir mpka saa10 jion kimya na
Uzuri nilikua nime save namba ya alie niita interview ile ya kwanza bas nika mpigia j4 nakumueleza kua interview ya mwisho mli ahidi kunipigia j3 lakini haikua hivo na leo n j4 mbona kimya
Bas nilijibiwa subiri tuta kupigia kinyonge sana nili pokea ile kauli yake na kusema acha nisibir nika subir sasa yapata miaka 3 [emoji23][emoji23] nime ona huu uzi wako bas ndo ume nikumbusha ili tukio hili ..
kikubwa hii ili nifanya nikate tamaa ya kuajiriwa na zaidi tu nifocus na biashara zang mdogo mdogo najua ntatoboa
 
2018 niliitwa pia kweny NGO moja hivi ipo kule ushuani
Nilifanya written interview na oral siku hiyo
Baada ya week mbili niliitwa tena kufanya Oral ikiwa ni ya Pili hii ukiacha ile ya kwanza hii ilijikita zaidi kweny taasis husika na bada ya interview nilipata nafas ya kufahamishwa miradi iliyo kua ikisimamiwa na hiyo NGo pia nilipata kufahamu taratibu zote za ofice husika na jamaa wali niambia kabisa kua we ndo mtu tunae kuhitaji kwa hiyo ume fit hii nafas nikapewa ahadi ya kupigiwa simu j3 nifike ofis husika na vyeti na ishu nyngnezo za kiofis bas nika ondoka pale nikiwa natumain kubwa kua ile kazi. Nime ipata na ukizingatia nili fanya vzur zile interview zote
Ajab j3 ilifika nikawa nasubiri sim yao naona kimyaaa
Nika subir mpka saa10 jion kimya na
Uzuri nilikua nime save namba ya alie niita interview ile ya kwanza bas nika mpigia j4 nakumueleza kua interview ya mwisho mli ahidi kunipigia j3 lakini haikua hivo na leo n j4 mbona kimya
Bas nilijibiwa subiri tuta kupigia kinyonge sana nili pokea ile kauli yake na kusema acha nisibir nika subir sasa yapata miaka 3
emoji23.png
emoji23.png
Daaah pole sana mzee baba. Hawakukutendea haki hao jamaa kwa maana kama walishindwa kukupa shavu walipaswa kukwambia pale pale mkuu...
 
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.

Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.

Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?

Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.

Mungu anao watu wengi sana mitaani ambao kesho watafanya intaviu na wote hao aliwaambia wajisaidie wenyewe naye atswsaidia, hivyo ni jukumu lako kijisaidia, ila ukitaka nikuombee tuma mgao wangu kabisa maana mkipata mnajificha.
 
Omera hawajawahi niangusha linapokuja suala la usaili nakuombea kwa Mungu uweze kufanikisha azimio lako mkuu. Kila la kheri ochuonade...
 
nime ona huu uzi wako bas ndo ume nikumbusha ili tukio hili ..
kikubwa hii ili nifanya nikate tamaa ya kuajiriwa na zaidi tu nifocus na biashara zang mdogo mdogo najua ntatoboa
Kujiajiri pia ni jambo la maana sana mkuu. Hongera.
 
Unataka tukuswalie ukiwa mzima!! Mimi sikuombei nenda kapambane na hali yako mkuu.
 
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.

Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.

Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?

Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.

Jitahidi Kizungu kiwe super, kama kitakuwa cha kuungaunga kama tunavyovisoma humu JF basi bora hata usiende labda kama ni NGO ya kiwanda cha kutengeneza mikate ya Sodana!
 
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.

Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.

Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania kombe ili wawili waibuke kidedea na 7 watakaobaki warudi tena mitaani kupambana na maisha. Je, Infantry Soldier atavuka Interview hii na kuachana na biashara yake ya kuendesha Taxi Bubu?

Mwambie Mungu anisaidie nivuke salama challenge hii kwa maana mshahara wa hawa jamaa zangu ni mnono kweli kweli.

Wahi mapema hata nusu saa kabla.

Piga suti matata preferably nyeusi na shati nyeupe au bahari blue Kwa ndani.

Maintain eye contact all the time with the interviewer.

Majibu yako yote kuhusu past experience wakikuuliza majibu yako yaoneshe ulikua uko ki team work zaidi. Usipende kusema nilifanya nilifanya. yes sema hivi kama kweli KAZI iliitaji an individual otherwise show them team work wins always.
 
Back
Top Bottom