Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa bro mbona ivo wee kama hutaki kunijibu niambie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniwekee vikwazo kama mabeberu na mozambique
Poa mkuu, all the best.
 
Nilikuombea sana na nina imani wengi walifanya hivyo, ni vyema ungetufahamisha Kama ulivyofanya awali pindi unaomba tukuombee. Vipi mkuu ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom