Kesho asubuhi usikose kipindi cha michezo cha E Sports

Kesho asubuhi usikose kipindi cha michezo cha E Sports

Tena nitakicheki live kupitia chaneli yao ya YouTube

Yani niwe naziona reaction za Geaff, Mzee wa jambia, na Jemedari

Aiseee kesho kukuche tu haraka
 
Amesha toa tamko kwamba....
Kama alisema kwamba Yanga ni timu bora, basi alisema akiwa amelewa..🤣
 
Uchambuzi ulioshiba kuhusu kilichotokea leo kule Mbarali. Hapa Maestro, pale Jef Leah, pembeni kuna Mzee wa Jambia bila kumsahau Mwana wa Kazumari.
Damu itamwagika kesho…
Kipindi ni saa ngapi
 
Mpira ni Mchezo WA Fair Pray.

FIFA wenye Mpira wao wanasisitiza sana FAIR PRAY.

USIWE CHIZI SOKA.

peleka UTOTO FB huko
 
Back
Top Bottom