Kesho baada ya mechi ya Simba FC tutegemee kauli hizi kutoka kwao

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
(1) Kocha mgeni tumpe muda.
(2) Timu imecheza vizuri ila pale kati bado.
(3) Chama akiwa ugenini sijui anakuaje
(4) Yaani bora angeanza Bocco, huyu Kagere kawa mzito
(5 ) Manura na kila siku anafungwa magoli yaleyale tu
(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki
(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu
(8) Ila na kocha nae kazingua anamuachaje Chikwende?
(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda
(10) Yule Morrison midevu tu hakuna lolote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ss mbona unawapa maneno ya kujitetea.
 
Hizi ndio zitashika hatamu.

(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki

(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu

(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda

(10) yule Morrison midevu tu hakuna lolote.
 
Hivi mechi itarushwa na chanel gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…