zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Wamekulambia Vumbi la Kongo subiri shughuli yakoUtopolo pamoja na kelele zote mwakani wakitoa orodha ya viwango bora ya vilabu Namungo lazima atamwacha kwa mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekulambia Vumbi la Kongo subiri shughuli yakoUtopolo pamoja na kelele zote mwakani wakitoa orodha ya viwango bora ya vilabu Namungo lazima atamwacha kwa mbali
Kule Kongo wamelambiwa Vumbi la Kongo wakifika Uarabuni wameliwa Tende.Kazi ipo mnyama akirudi bongo hatamanikino.10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe leta jeuri kuanzia kesho hitochangia tena kwa aibu uliyonayo.Ndiyo hizo kauli zimetolewa Kama tahadhari hakuna visingizio.Ukiliwa ukubali umeliwa usilete janja janja.Hivi mnajua kesho mnacheza na dada wenzenu wa Mbeya?
Mlisema hivi 2019 kwhyo uto tushawazoeaTaifa linaenda kuaibishwa, sijui tutawaambia nini watu
Eti wanasimba sa itakuaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana, kesi zitaisha tuTaifa linaaibishwa na makesi yenu fifa ya kudaiwa na wachezaji pesa za usajili, mtafanya hata wqchezaji wazuri kuogopa kuka kucheza Tanzania kwa tabia yenu chafu
Sawa tutaonaMlisema hivi 2019 kwhyo uto tushawazoea
Pole wewe mwenye kesi ya kudaiwa, dawa ya deni ni kulipaPole sana, kesi zitaisha tu
SawaPole wewe mwenye kesi ya kudaiwa, dawa ya deni ni kulipa
Ndio mtasema yoteHii sio a.s. vita ya 2019😁
ndio ishakua, utopolo mnasemaje?Kama nawaona watani zangu mikia wanavyoupitia huu uzi kwa mbaali huku wakiombea leo matokeo yaje kinyume ili waje kuanza kuporomosha kauli za kuudhi. [emoji23][emoji23]
Cc. Troisième Ceil na Penison . Teh.