Kesho baada ya mechi ya Simba FC tutegemee kauli hizi kutoka kwao

Kesho baada ya mechi ya Simba FC tutegemee kauli hizi kutoka kwao

no.10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kule Kongo wamelambiwa Vumbi la Kongo wakifika Uarabuni wameliwa Tende.Kazi ipo mnyama akirudi bongo hatamaniki
 
Hivi mnajua kesho mnacheza na dada wenzenu wa Mbeya?
Wewe leta jeuri kuanzia kesho hitochangia tena kwa aibu uliyonayo.Ndiyo hizo kauli zimetolewa Kama tahadhari hakuna visingizio.Ukiliwa ukubali umeliwa usilete janja janja.
 
Mkuu vipi matokeo umeyaona ubashili wako hakika ni batili SIMBA nguvu moja
 
Back
Top Bottom