Kesho baada ya mechi ya Simba FC tutegemee kauli hizi kutoka kwao

(1) Kocha mgeni tumpe muda.
(2) Timu imecheza vizuri ila pale kati bado.
(3) Chama akiwa ugenini sijui anakuaje
(4) Yaani bora angeanza Bocco, huyu Kagere kawa mzito
(5 ) Manura na kila siku anafungwa magoli yaleyale tu
(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki
(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu
(8) Ila na kocha nae kazingua anamuachaje Chikwende?
(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda
(10) Yule Morrison midevu tu hakuna lolote.
UTOPOLO, unachungulia uzi wako unajifanya kama haujaandika wewe, unachungulia, kisha unakula kona. Ndo hivyo Wa Kimataifa kashapata Point 3 saaaafi huko ugenini. Wwe utooooo na husda zako umeumia sana, na hili litakua jambo endelevu, mutaumia sana kwa Simba, sisi twasonga mbele
 
Simba baada ya kumuona Tshitshimbi wakajua wanacheza na yanga hapo ndipo tatizo lilipoanzia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji881]
Ila utopolo mnatia huruma nyambafuuu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
(1) Kocha mgeni tumpe muda.
(2) Timu imecheza vizuri ila pale kati bado.
(3) Chama akiwa ugenini sijui anakuaje
(4) Yaani bora angeanza Bocco, huyu Kagere kawa mzito
(5 ) Manura na kila siku anafungwa magoli yaleyale tu
(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki
(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu
(8) Ila na kocha nae kazingua anamuachaje Chikwende?
(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda
(10) Yule Morrison midevu tu hakuna lolote.
Uto kama uto
 
Baada ya mechi
 
Vp hapo ulipo simba imeshinda wajisikiaje
 
😀😁😂🤣😃😄😅😄😃🤣😂😁😀
Simba Sport Club
Nguvu Moja, Siyo Kama Ile Ya Kijani
 
.
IMG-20210213-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom