SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Limeenda kujiliwaza kwenye mataputapuHill topolo limekimbia uzi wake
Topolo zoote zimelalaHill topolo limekimbia uzi wake
UTOPOLO, unachungulia uzi wako unajifanya kama haujaandika wewe, unachungulia, kisha unakula kona. Ndo hivyo Wa Kimataifa kashapata Point 3 saaaafi huko ugenini. Wwe utooooo na husda zako umeumia sana, na hili litakua jambo endelevu, mutaumia sana kwa Simba, sisi twasonga mbele(1) Kocha mgeni tumpe muda.
(2) Timu imecheza vizuri ila pale kati bado.
(3) Chama akiwa ugenini sijui anakuaje
(4) Yaani bora angeanza Bocco, huyu Kagere kawa mzito
(5 ) Manura na kila siku anafungwa magoli yaleyale tu
(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki
(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu
(8) Ila na kocha nae kazingua anamuachaje Chikwende?
(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda
(10) Yule Morrison midevu tu hakuna lolote.
Uto kama uto(1) Kocha mgeni tumpe muda.

AiseeToooba!!
Hivyo tutarajie kwamba mtapokea kichapo ama? Mana kama unajihami eti.
Baada ya mechi(1) Kocha mgeni tumpe muda.
(2) Timu imecheza vizuri ila pale kati bado.
(3) Chama akiwa ugenini sijui anakuaje
(4) Yaani bora angeanza Bocco, huyu Kagere kawa mzito
(5 ) Manura na kila siku anafungwa magoli yaleyale tu
(6) Tshabalala akizidiwa anapaniki
(7) Wawa hana mbio anakabia macho tu
(8) Ila na kocha nae kazingua anamuachaje Chikwende?
(9) Mickson hakabi ndio maana umeona Kapombe hakupata nafasi ya kupanda
(10) Yule Morrison midevu tu hakuna lolote.
Kwaiyo hii simba ya 2019 ?Hii sio a.s. vita ya 2019๐