Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Sherehe ya Vesak. Ni birthday ya Buddha.
Ndiyo Christmas.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atahudhuria.
Ndiyo Christmas.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atahudhuria.
Kutakuwa na chakula?Hii sherehe sijui kama zipo kadi za mwaliko.
Nadhani mtu akiwepo pale anaweza kwenda kuuliza kama anaruhusiwa kuingia.
Itakuwa kesho saa sita mchana.
Vile vyakula vya kichina utawezana navyo?Kutakuwa na chakula?
Mambo ya kula tandu, ah Hapana aisee 🙌Vile vyakula vya kichina utawezana navyo?
nyoko nyoko mbamizwa bdegeCount me in 😎.
Nakumbukaga wewe ushakuwaga monk hadi ulikuwa unavaa yale mavazi yao 😄Hii sherehe sijui kama zipo kadi za mwaliko.
Nadhani mtu akiwepo pale anaweza kwenda kuuliza kama anaruhusiwa kuingia.
Itakuwa kesho saa sita mchana.
Rev. Pannasekara yupo bado hapo Buddhist Temple?Sherehe ya Vesak. Ni birthday ya Buddha.
Ndiyo Christmas.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atahudhuria.
Usanii mtupuSherehe ya Vesak. Ni birthday ya Buddha.
Ndiyo Christmas.
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atahudhuria.
Karibu sana mkuu 😎.nyoko nyoko mbamizwa bdege
Watapika msosi gani?Hii sherehe sijui kama zipo kadi za mwaliko.
Nadhani mtu akiwepo pale anaweza kwenda kuuliza kama anaruhusiwa kuingia.
Itakuwa kesho saa sita mchana.
Hata kikiwepo pilipili zao utaziweza?Kutakuwa na chakula?