Kesho Buddhist Temple Upanga, Dar es salaam, itakuwepo sherehe. Waziri Mkuu atahudhuria

Hii sherehe sijui kama zipo kadi za mwaliko.
Nadhani mtu akiwepo pale anaweza kwenda kuuliza kama anaruhusiwa kuingia.
Itakuwa kesho saa sita mchana.
 
Kuna jamaa zangu walipita hapo miaka ya 90 wakaenda mpaka China….
Ndio walikuja kuwa wakalimani wa kichina wa mwanzo, walipiga sana hela
 
Hii sherehe sijui kama zipo kadi za mwaliko.
Nadhani mtu akiwepo pale anaweza kwenda kuuliza kama anaruhusiwa kuingia.
Itakuwa kesho saa sita mchana.
Nakumbukaga wewe ushakuwaga monk hadi ulikuwa unavaa yale mavazi yao 😄

Ova
 
Kumbe Buddhism ipo Tanzania? Heri ya siku ya Vesak kwenu Buddha wote nchini, wazee wa reincarnation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…