Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jun 7, 2026 #21 antimatter said: Hata kikiwepo pilipili zao utaziweza? Click to expand... Maji kwa wingi tuu mkuu π
antimatter said: Hata kikiwepo pilipili zao utaziweza? Click to expand... Maji kwa wingi tuu mkuu π
Mbuta Likaso JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,414 Reaction score 10,555 Jun 7, 2026 #22 Mizimu ya Lyamba lya Mfipa kuna watu bado wanaizingatia kweli au ndo tumehamia kwa Buddha?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jun 7, 2026 #23 Lycaon pictus said: Kwa nini hakuna wahindi wabudha na dini ilianzia kwao? Click to expand... Ubudha ulianzia China, pia wapo Wahindi Wabudha.
Lycaon pictus said: Kwa nini hakuna wahindi wabudha na dini ilianzia kwao? Click to expand... Ubudha ulianzia China, pia wapo Wahindi Wabudha.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 7, 2026 #24 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,884 Reaction score 21,175 Jun 7, 2026 #25 Yoda said: Ubudha ulianzia China, pia wapo Wahindi Wabudha. Click to expand... Buddha mwenyewe alikuwa ni mhindi.
Yoda said: Ubudha ulianzia China, pia wapo Wahindi Wabudha. Click to expand... Buddha mwenyewe alikuwa ni mhindi.