Kesho lazima Argentina apewe penalti dhidi ya Ufaransa

Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] vamosssssssssss
 
FIFA wanataka kumuaga king wa mpira messi na kombe la dunia...

ARGENTINA inapewa Penalty sababu ya messi..

Messi akiumia ama akikaa benchi hakuna penalty watakayopewa kama zilizopita
Ushahidi uko wapi
 
Mashabiki wa Ronaldo wameshaanza kulia lia mapema.
VAR ipo,penalty zinatolewa watu tunaona. Ninyi kikubwa ombeeni Argentina asibebe ndoo hayo mengine mnajiumiza bure tu
 
Argentina hii haina best attacking kuliko timu zote katika history ya world cup.

Kuna timu kibao zimeshaenda world cup na attacking force za kufa mtu.. wanashambulia mwanzo mwisho.

Spain ya kina xavi na iniesta walikuwa wana mpira wao muda wote wanapiga pasj buku. Wakija golini kwako hawaondokiii ni nusu uwanja tu.. ila bado hawakuwa hawakufikisha penalty hata 2 za kupewa mashindano yote.

Brazili imeshaenda world cup ikiwa na ronaldo di lima, ronaldinho, kaka, wakiwa katika form.. ila bado hawakupewa penalty hata 2.

Hata argentina yenyewe miaka ya nyuma ilishawai kwenda world cup ikiwa na messi wa moto.. sio huyu mzee.. na hapo aguero wa moto, di maria wa motoo, higuain wa moto.. ila bado hawakupewa penalty hata 3.

Argentina hii ndio imevunja rekodi ya kombe la dunia.. timu moja kupewa penalty 5 katika mechi 6 tofauti mfululizo haijawai tokea
Umeongea kwa hisia ukweli mtupu, hawa Fifa wana jambo lao.
Ukiangalia penalt zinazotolewa ni za mchongo
 
Hata zile moment za leo angekuwa messi angepewa penalty.
 
Ta
Tushapeleka bahasha kwanini valane asimkwatue messi kusudi ili penalty ipatikane maana kwake muamala umesoma toka juzi, pia refa ameahidiwa maisha bora akitoa penalty mbili kesho.

Nyie mtaloweza kufanya mpaka sasa ni kuamua kuungana na sisi wa Argentina wa ikwiriri au mbaki upande wa maumivu.
and this is our shoddy levels of thinking

Njaa itatuua
 
1671341583609.png
 
Umeongea kwa hisia ukweli mtupu, hawa Fifa wana jambo lao.
Ukiangalia penalt zinazotolewa ni za mchongo
Naona cr7 masalia mnateseka sana

Messi ni top scorer and top assists

Cr7 has ????
 
Argentina hii haina best attacking kuliko timu zote katika history ya world cup.

Kuna timu kibao zimeshaenda world cup na attacking force za kufa mtu.. wanashambulia mwanzo mwisho.

Spain ya kina xavi na iniesta walikuwa wana mpira wao muda wote wanapiga pasj buku. Wakija golini kwako hawaondokiii ni nusu uwanja tu.. ila bado hawakuwa hawakufikisha penalty hata 2 za kupewa mashindano yote.

Brazili imeshaenda world cup ikiwa na ronaldo di lima, ronaldinho, kaka, wakiwa katika form.. ila bado hawakupewa penalty hata 2.

Hata argentina yenyewe miaka ya nyuma ilishawai kwenda world cup ikiwa na messi wa moto.. sio huyu mzee.. na hapo aguero wa moto, di maria wa motoo, higuain wa moto.. ila bado hawakupewa penalty hata 3.

Argentina hii ndio imevunja rekodi ya kombe la dunia.. timu moja kupewa penalty 5 katika mechi 6 tofauti mfululizo haijawai tokea
Kwani Kuna idadi au kiwango Cha penalties kwa mechi ambacho timu inatakiwa kupata?
Very shallow minded argument
 
Back
Top Bottom