Kesho lazima Argentina apewe penalti dhidi ya Ufaransa

Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] vamosssssssssss
 
FIFA wanataka kumuaga king wa mpira messi na kombe la dunia...

ARGENTINA inapewa Penalty sababu ya messi..

Messi akiumia ama akikaa benchi hakuna penalty watakayopewa kama zilizopita
Ushahidi uko wapi
 
Mashabiki wa Ronaldo wameshaanza kulia lia mapema.
VAR ipo,penalty zinatolewa watu tunaona. Ninyi kikubwa ombeeni Argentina asibebe ndoo hayo mengine mnajiumiza bure tu
 
Umeongea kwa hisia ukweli mtupu, hawa Fifa wana jambo lao.
Ukiangalia penalt zinazotolewa ni za mchongo
 
Hata zile moment za leo angekuwa messi angepewa penalty.
 
Ta
and this is our shoddy levels of thinking

Njaa itatuua
 
Umeongea kwa hisia ukweli mtupu, hawa Fifa wana jambo lao.
Ukiangalia penalt zinazotolewa ni za mchongo
Naona cr7 masalia mnateseka sana

Messi ni top scorer and top assists

Cr7 has ????
 
Kwani Kuna idadi au kiwango Cha penalties kwa mechi ambacho timu inatakiwa kupata?
Very shallow minded argument
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…