Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Unaendeleaje huko ulipoKama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.
Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
Upo sahihiUnachezeza foul ndani ya 18 ikitolewa penalty unalaumu Argentina wanapendelewa, una akili timamu kweli?
Kwanza kabisa mimi siyo shehe,tukubaliane hilo kwanzaPenalty halal kabisha shehe
Okay,Kwanza kabisa mimi siyo shehe,tukubaliane hilo kwanza
Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.
Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
YametimiaMambo ya kufikirika
Mimi sijalaumu, nimesema lazima watapewa penaltiUnachezeza foul ndani ya 18 ikitolewa penalty unalaumu Argentina wanapendelewa, una akili timamu kweli?
France got two penaltiesMimi sijalaumu, nimesema lazima watapewa penalti
[emoji1787]Goat great rest of all time analizimishiwa kuwa goat
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]baada ya France kupewa penalty mbili mleta uzi ameingia mitini
Duh!Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5.
Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine