Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

Kama Magufuli angekuwa msomi, mwelewa na shujaa wa Afrika kama vilaza wa CCM wanavyomkweza, Masilingi angepoteza Ubalozi wake muda mfupi tu baada ya mahojiano yale na Lissu VOA maana aligaragazwa vibaya sana mpaka akatutia aibu sote pamoja na Magufuli mteuzi wake. Lumumba ni nincompoop anayepuuzwa kwao Kenya kwa misimamo yake hasi dhidi ya Serikali ya Uhuru Kenyatta kwa hiyo anakimbilia kufuatilia mambo ya Tanzania kwenye vilaza wengi ikiwa ni pamoja na viongozi. Shaka Ssali ni Mganda jirani yetu na anajua mengi sana kuhusu Afrika ndo maana hata Serikali ya Marekani inamwamini kwa miaka mingi sasa na amemwalika Lumumba baada ya kukosa mwelewa hapa. Lissu atamudu vizuri sana maana si mara ya kwanza na lugha anaijua na Siasa zetu za kusifia tu anazijua!
 
Ni utaahira kumpa mtu ambae hana uwezo wowote wa kihoja mbele za wasomi ushujaa wa Afrika.

Kwa kigezo kipi yaani Magu anaweza kuwa shujaa?
Wao wameona huyo ndiye wanaendana
Wew unapiga tu kelele
 
Kumpambanisha Lissu na PLO Lumumba ni kama kuua nzi kwa mzinga! Lumumba anaijuia Afrika yote, wakati Lissu anaijua Chadema nusu nusu tu!
Mataga bhana [emoji23]
Hivi ndani ya CCM Nani anaweza kupambana na Lissu kwa hoja?
Mtaje mmoja tu
 

Haahaa huyo mkenya Koko Hana chochote kipya zaidi ya kukariri ya kale tupu
Huyo sio Mkenya Koko, huyo ni Mkenya Konki Fire, nabii hakubaliki kwao!
Umesikia wewe Ndugu!
 
Acha kutisha watu wewe
 
Kwa lissu nategemea kejeli,matusi,mapovu na lawama kwa marehemu
 
Muandish hajui kiingereza tumsamehe bure masilingi aligaragazwa ukitaka andika YouTube jina lake uthibitishe
 
Unazidi kuonyesha namna ulivyo mtupu na mtoto kwa kulazimisha umarekani wakati unatoka Ikungu lya mbeshi.

Andika Kiswahili sanifu kijana wa kitanzania.
 
Dah! Anaenda kwenye mdahalo na huyu nguli PLO Lumumba? Chadema wangemshauri mapema asiende au "abehave"!
 
Mbona unaanza kujihami kwani kuna nini? Hivi kwani masilingi alisema nini cha kumshinda Lissu? Tujuze mwenzetu.
 
Ni utaahira kumpa mtu ambae hana uwezo wowote wa kihoja mbele za wasomi ushujaa wa Afrika.

Kwa kigezo kipi yaani Magu anaweza kuwa shujaa?
Wewe hujui chochote na hata kama ukijua hutaelewa na ukielewa utaharibu tuu.
 
Lisu si lolote
 
Shujaa wa waafrika?

Unai define vipi afrika?

Maneno kama haya yanatia aibu na kujishushia credibility mbele za watu wenye akili
Wasio na akili tuu ndiyo hawawezi kutambua kuwa Magufuli ni shujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…