Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Naona Chadema INA wafanya Watu waweweseke.mno.
Habari za Geita mkuu .Acheni kutafuta ya kujadili kiudaku, juzi mmetoka kupiga kelele eti polisi hawakucheki gari bovu leo mnatumia kiki ya msiba kudanganyana.
Magufuli 2020
wakague na yanayotoka:Acheni kutafuta ya kujadili kiudaku, juzi mmetoka kupiga kelele eti polisi hawakucheki gari bovu leo mnatumia kiki ya msiba kudanganyana.
Magufuli 2020
Acha kujitoa ufahamu wewe! Nyie mteteeni lakini kwenye teuzi hawakumbuki.Acheni kutafuta ya kujadili kiudaku, juzi mmetoka kupiga kelele eti polisi hawakucheki gari bovu leo mnatumia kiki ya msiba kudanganyana.
Magufuli 2020
kuna mafisadi kama ccm mpaka Rambirambi mnalambaWatetea mafisadi chadema wanageuza msiba wa mzee kuwa siasa
Mkuu unatisha. Sio kwa mchanganuo huo.wakague na yanayotoka:
(i) Tunduma-Mbeya-Moshi (kupitia Iringa-Dodoma),
(ii) Mwanza-Serengeti-Arusha,
(iii) Bukoba-Kahama-Singida-Katesh-Babati,
(iv) Kigoma-Tabora-Singida-Arusha,
(v) Tanga-Moshi,
(vi) Kisii-Narok-Namanga-Moshi,
(vii) Thika-Nairobi-Loitoktok-Tarakea-Moshi,
(viii) Kajiado-Namanga-Sanya juu-Moshi,
(ix)Arusha-Moshi,
(x) Karatu-Arusha-Moshi,
(xi) Mombasa-Voi-Holili-Moshi,
(xii) Mombasa-Lungalunga-Tanga-Moshi.
Kwa UFUPI, Wazuie mabasi na magari yoye Nchini kwa siku MBILI ili kupisha mvua kunyesha na Jua kuwaka..
Watetea mafisadi chadema wanageuza msiba wa mzee kuwa siasa
Vipi kiongozi wa mjengo, Una hamu naye?Sina hamu na magufuli mpaka basii