Tetesi: Kesho Magari kufanyiwa ukaguzi maalum yanayokwenda Mkoani Kilimanjaro siri imejificha

kuna Taarifa ambazo tunazifwatilia kuwa siku ya Kesho Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Arusha Kuna uwezekano mkubwa sana Magari yaendeyo mkoani Kilimanjaro kuzuiliwa kwa kigezo cha kufanyia uchunguzi wa kitalaam hii inawagusa watu kuwa nikutokana na watu wengi kwenda kumzika mzee Ndesamburo swali watu wanalojiuliza watakagua mpaka mavazi ya Chama?

sinema ni Nyingi kuliko TV

V-Wanda
Acheni uzushi wa kimbumbumbu namna hii, ndo sbb badala ya kufanya kazi za maendeleo tunaharakia kuilaumu serikali.....amkeni......acheni ufala huu!!
 
kuna Taarifa ambazo tunazifwatilia kuwa siku ya Kesho Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Arusha Kuna uwezekano mkubwa sana Magari yaendeyo mkoani Kilimanjaro kuzuiliwa kwa kigezo cha kufanyia uchunguzi wa kitalaam hii inawagusa watu kuwa nikutokana na watu wengi kwenda kumzika mzee Ndesamburo swali watu wanalojiuliza watakagua mpaka mavazi ya Chama?

sinema ni Nyingi kuliko TV

V-Wanda
Misukule @ work!
 
Back
Top Bottom