Kesho nafumania nimfanyaje mgoni?

Kesho nafumania nimfanyaje mgoni?

mkuu inawezekana pafomansi yako ipo chini ya kiwango akina dada hawa taki wanaume suruali. kama kweli ww ni sharobaro anaenda kimoaja alaf unajifanya hutaki kutoka jasho ili hali wagumu wanaenda 5 tena kwa mpigo.ndo hayomyanakukuta, ww sepa tafuta mwingine na hakikisha upo fit kias kwamba ukipanda hushuki!!!!!!!! teh teh teh
 
Kwani ni mkeo huyo? kama wewe unaweza kutembea nae bila ya kuoana unategemea na wenzako wasiweze? unanchekesha!


hivi huwa una kenua hovyo hovyo kama Jinga Kubwa JK??? yani we una cheka cheka tuu??? mgonjwa wazimu
 
Wala usiende huko maana huo sio ugoni kwa sababu sio mke wako. Mwache aendelee na huyo ampendae.
 
Ndugu yangu angalia wewe jiaminishe utachezea kichapo mpaka utamwambia huyo mwanamke akuombee msamaha!
 
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.

1. Siyo Mkeo ni mpenzi
2. Je usingezisoma hizo sms usingekubali hizo saundi zake?
3. Kufumania siyo dawa ya manzi wako kuliwa, kwani ukimfumania watu wakiona walaji wanaongezeka mara dufu.
4. Cha msingi ni kwamba una mapungufu wewe mwenyewe mpaka manzi anakwenda kuliwa Mkuu!
 
nimeishi naye nyumba moja miaka 2ka hivo ni ke wangu kisheria na mahari nusu nimelipa
nusu mahari nini bana watu wamelipa ng'ombe 20 na bado wakamegewa,afu acha usanii wife katupa mkanda mzima unaache mke na kichanga unaenda kwa kimada ? Huyo kimada atamegwa na ukijipeleka nawe utamegwa tu.Tulia kwa wife mlee mtoto.
 
The Only Ukikua utaacha,Watu siku hizi hawaumizi kichwa kwa ajili ya mapenzi,tafuta chappaa,tafuta salary hamka wenzako hawalali,mademu wapo wengi sana sana hadi wengine wanakosa wanaume,tafuta salary
 
1. Siyo Mkeo ni mpenzi
2. Je usingezisoma hizo sms usingekubali hizo saundi zake?
3. Kufumania siyo dawa ya manzi wako kuliwa, kwani ukimfumania watu wakiona walaji wanaongezeka mara dufu.
4. Cha msingi ni kwamba una mapungufu wewe mwenyewe mpaka manzi anakwenda kuliwa Mkuu!

umemshauri vizuri sana, hapo ni kuppiga chini tu. demu mpaka anafikia stage hiyo jua kwamba hakufai
 
Yanini uhangaike na demu malaya?kama ni demu ukiwafumania waongeze kondomu undoke zako na kama ni mke kamwachie talaka palepale gesti mbele ya malaya mwenzake.Utapata wa chaguo lako,Mungu ni mwema.
 
HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII,Yani we ndo unanishangaza ulitakiwa kukaa na mpenzi na umwambie yote anayoyafanya,we akili yako inakutuma kwenda kufumania akikuruka kithibitisho unacho kaka........inawezekana unamuogopa huyo mpenzi wako ndo mana umeshindwa kumchana live,mi naona badili tu mawazo yako.
 
wanawake wapo tofauti sana unaweza sema unamkomesha kumbe unajidhalilisha,labada angekuwa mke girlfiend pole sana,
 
Ukimfumania mwambie "na mimi nataka unifanyie kama mke wangu"
 
Back
Top Bottom