KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kama wewe ni goigoi kitandani unategemea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeee!husninyo si atakufa!Mnyofoe kikojoleo chake.
Kwani ni mkeo huyo? kama wewe unaweza kutembea nae bila ya kuoana unategemea na wenzako wasiweze? unanchekesha!
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.
nusu mahari nini bana watu wamelipa ng'ombe 20 na bado wakamegewa,afu acha usanii wife katupa mkanda mzima unaache mke na kichanga unaenda kwa kimada ? Huyo kimada atamegwa na ukijipeleka nawe utamegwa tu.Tulia kwa wife mlee mtoto.nimeishi naye nyumba moja miaka 2ka hivo ni ke wangu kisheria na mahari nusu nimelipa
1. Siyo Mkeo ni mpenzi
2. Je usingezisoma hizo sms usingekubali hizo saundi zake?
3. Kufumania siyo dawa ya manzi wako kuliwa, kwani ukimfumania watu wakiona walaji wanaongezeka mara dufu.
4. Cha msingi ni kwamba una mapungufu wewe mwenyewe mpaka manzi anakwenda kuliwa Mkuu!
naweza sana. We huwezi?
Mweeee!husninyo si atakufa!
Mmmh! Ngumu sana, siwezi...
Aseee!
Kumbe huku ndo mnafanyaga hivi eeh!
Ndugu yangu angalia wewe jiaminishe utachezea kichapo mpaka utamwambia huyo mwanamke akuombee msamaha!