Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
huna cha kufanya mpaka umwinde wakati si mkeo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaah!!The only:
Kwa taarifa yako siendi tena ile guest, nampeleka mpenzi wako kwingine tutazima tu simu, na kukuacha na maumivu wakati sisi tunabanjuka! We tafuta mwingine bana niachie huyu kasema umemshindwa huna nyimbo!!
Hivo hata kunawa havijui, hataki anataka kurumbembe lakeachana nae huyo wewe Tafuta binti wa 18miaka tena chotara,vititi saa6 endelea na maisa!au uli invest sana roho inauma?
Jaman kwan tatzo nn? C kaamua mwnyw? We km vp 2pa kuleee! Kwn mkeo? Ukiambiwa w ni boy4rnd haimaniishi uko peke ako
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana pale jion na tayali huyu manzi nikamuomba nitoke naye kanipa sababu lukuki nikajifanya understanding.Sasa waungwana ninahakika kwan nshachunga na muhudumu wa gesti ,je nikiwabamba nifanyaje ? inaniuma sana.

Kwani ni mkeo huyo? kama wewe unaweza kutembea nae bila ya kuoana unategemea na wenzako wasiweze? unanchekesha!
Hivo hata kunawa havijui, hataki anataka kurumbembe lake