Kesho Nakuja Mbeya

Kesho Nakuja Mbeya

Jf chit chat.

Arusha lini? Ila ukija huku usisahau lile sweta lako LA kizalendo maana kuna baridi 😉
#mcutemwenyemaloveyake✌
Kumbe mamalai upo huku

#ChugaNdioHome👊
 
90% ya wachangiaji naona wametoa tahadhari kwa wingi....teh[emoji28]
 
Usisahau Sweta kama yale yanayokuja Bodaboda ila kipindi hiki huku tunahisi joto ila kwako litakuwa ni baridi heavy..

Uniletee Furu nkoyi.
 
Hivi ile mikoba ya Uganga ushachukua sema mapema kabla kichwa cha chini hakijatuponza tukazama pm
 
Usilisahau sweta lako lile la Tanzania
Hakikisha tuu mara hii unachukua nauli ya kurudia.

View attachment 1207996


Unforgetable
Ulivyotoka nalo Mwanza kuja ubungo ulikuwa ni Mwanafunzi??
Jf chit chat.

Arusha lini? Ila ukija huku usisahau lile sweta lako LA kizalendo maana kuna baridi 😉
#mcutemwenyemaloveyake✌
MAGHALLAR R anajua hii taarifa


JF 😂😂😂😂👐👐
 
Wale wa nyanda za juu kusini,kesho nakuja kuwatembelea,Mbeya,Tukuyu,Mbalizi,Iringa na kwingineko,nitakuwa kwenye utalii wa ndani wa siku 4 kuanzia kesho,itakuwa mara yangu ya kwanza kufika huko,na Njombe lazima nifike
Kwani kuna mizizi unafata huko?
 
Back
Top Bottom