Kesho nasi tumuombee Tundu Lissu apate kibali zaidi kama leo alivyoombewa mheshimiwa

KUKULU- KAKALA

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
312
Reaction score
1,299
Nilikuwa nafatilia online uzinduzi wa Hema jipya la Arise and Shine ya mwamposa pale Tanganyika peckers (KAWE) nimeona Siasa imezidi badala ya Kumuabudu Mungu. Kila mtu awe mtumishi au kiongozi alipopanda jukwaani ilikuwa ni kumnadi mama na mwisho wa SIKU BONIFACE MWAMPOSA mwenyewe akaarika Timu ya watumishi wote Kumuombea MHESHIMIWA USHINDI HAPO OKTOBA.

Maaskofu na viongozi wote wa kidini wamemuombea ushindi na Wamedai Kuwa MUNGU awape Kushindwa wale wanao mpinga.

Rai yangu ni kwamba wakristo wenye Mapenzi mema kesho ibadani TUOMBEE Haki na Kusudi la Mungu liweze kutimia Kwenye nchi hii Miaka mitano ijayo. Pia tusiwasahau TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU na JOSEPHAT GWAJIMA Kwenye Maombi yetu.
 
..Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom