Kesho Ngongo kumlipua Dkt. Bashiru

Mama anaupiga mwingi sana; huyu Mrudi asituharibie nchi yetu arudi kwao Burundi maana wao wamezoea vita sisi hapa hatujazoea vita. Mpuuzi mkubwa, amuache mama apige kazi. Mfyuuuu zake.
 
Doctor, kwa nini usiungane na tumbiri mkawa team kali saaana? Napendekeza iitwe "born town starts" " harafu msubirie" "bush stars" kama watatokea na ngonjera zingine.
 
Mashambulizi hayo wangeyafanya kwenye mahitaji ya nchi kwa kushauri namna ya kupunguza gharama za mfumuko wa bei , huduma za afya zenye kukidhi mahitaji, maji Safi na salama , nishati ya umeme ya uhakika , elimu yenye manufaa , kilimo cha kisasa, uvuvi wa kisasa n.k aisee tungekuwa mbali kuliko porojo za kutegemea teuzi na mbeleko. Kuna wakati unaona step ya kuzaliwa TZ haiko Sawa sema no way out.
 
Zama zake bashiru zimekwisha. Inakuaje mwanaume mzima kuteuliwa ubunge wake. Kama anaweza akagombe ccm imuonyeshe kitu. Pia anajua serikali ijayo ayumo.
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Dr Bashiru keshajibiwa,wewe huoni uchumi unavyokua kwa kasi 5G.

Ajira bwerere ni wewe tu na vyeti vyako.

Shilingi ya Tanzania kila siku thamani yake inazidi kupaa dhidi ya usd.

Ebu tukome tena utuache tunaupiga mwingi.
 
Ng'ombe kama hii eti ndio think tank ya ccm.[emoji706]..mbona ccm inajiaibisha hivi.
 
Bashiru alikuwa mshiriki wa serikali iliyowapa watu kesi za kubumba za kisiasa na watu kuhojiwa baada ya kuuhoja maswali magumu serikali.

Na bado atakomba mbona.Laana ya malipo ni hapa hapa.

same tu Ndugai
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
 
Wewe ndio huna ulichofanya. Wenzako wako bize na kazi umekalia rehema za ccm
 
Bashiru alikuwa mshiriki wa serikali iliyowapa watu kesi za kubumba za kisiasa na watu kuhojiwa baada ya kuuhoja maswali magumu serikali.

Na bado atakomba mbona.Laana ya malipo ni hapa hapa.

same tu Ndugai
Hata samia alikua mshiriki wa serikali hiyo tena kwa nafasi ya juu kuliko Bashiru, na yeye ana laana na atakoma?
 
Chama kilichojimilikisha dola kinapogeuka kuwa cha wanaharakati wa kushindana kusifu na kuabudu, badala ya kuzidi kujijenga kama taasisi imara. Mtu mzima anajitoa akili na kuanza kusifu huduma bora za umeme na maji ambazo kiuhalisia wala hazipo.

Eti nchi ipo uchumi wa kati!? Yaani mtu anasifu mpaka anaonekana kama juha. Kuwa na kundi hili la machawa hakuwezi kumsaidia Rais kitu chochote kile zaidi ya kuzidi kumchora pale akiboronga.

Constructive criticisms ni nzuri sana katika kufanya madaliko chanya, hasa zitolewapo na mtu makini na mzoefu kariba ya Dkt. Bushiri. Lazima wana CCM wajikite kwenye hoja zake ilizozitoa badala kuonyesha kejeli, matusi na utovu wa nidhamu kwa aliyekuwa KM Taifa wa chama chao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Mkuu awamu hii ulimwazima nani vitendea kazi kichwani?
Unavyoona ni kweli anamsagia Bashiru au anamuunga mkono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…