UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Halafu nyie watu wakorofi sana!
Hanikizo: Mama anaupiga mwingi
Hanikizo: Mama anaupiga mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doctor, kwa nini usiungane na tumbiri mkawa team kali saaana? Napendekeza iitwe "born town starts" " harafu msubirie" "bush stars" kama watatokea na ngonjera zingine.Wakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri.Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Dr Bashiru ni mpuuzi umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni.Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar waTanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Dr Bashiru keshajibiwa,wewe huoni uchumi unavyokua kwa kasi 5G.Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Kwakweli haujamuelewaRelax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Ng'ombe kama hii eti ndio think tank ya ccm.[emoji706]..mbona ccm inajiaibisha hivi.Wakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Some time hili sakata ni kama mikakati ya CCM kujaribu kupoteza maboya watu.
Sahivi kilio ni nchi nzima, sio maji, sio umeme, sio gharama za mahitaji muhimu kupanda zaidi ya maradufu, sio mbali sana kuelekea mwisho wa mwaka na ukimuuliza mtu yoyote alieko nje ya circle ya kibuyu cha asali kwamba amefanya nini cha maana mwaka huu hata kuwa na jibu.
Bado sio mbali January hii hapa ada na mahitaji ya watoto shuleni!
Stiglers haijawashwa?Dr Bashiru atupishe kwanza umeme kila kona na wala haukatiki
Hata samia alikua mshiriki wa serikali hiyo tena kwa nafasi ya juu kuliko Bashiru, na yeye ana laana na atakoma?Bashiru alikuwa mshiriki wa serikali iliyowapa watu kesi za kubumba za kisiasa na watu kuhojiwa baada ya kuuhoja maswali magumu serikali.
Na bado atakomba mbona.Laana ya malipo ni hapa hapa.
same tu Ndugai
Atakoma yule ea chini. Wa juu ana neemeka tuHata samia alikua mshiriki wa serikali hiyo tena kwa nafasi ya juu kuliko Bashiru, na yeye ana laana na atakoma?
Wa chini ni naniAtakoma yule ea chini. Wa juu ana neemeka tu
Chama kilichojimilikisha dola kinapogeuka kuwa cha wanaharakati wa kushindana kusifu na kuabudu, badala ya kuzidi kujijenga kama taasisi imara. Mtu mzima anajitoa akili na kuanza kusifu huduma bora za umeme na maji ambazo kiuhalisia wala hazipo.Wakuu heshima mbele,
Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.
Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.
Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.
Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.
Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.
Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.
Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Mkuu awamu hii ulimwazima nani vitendea kazi kichwani?Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Yaani kama una akili timam huwezi mwelewa lakini sisi wenye akili kama za msukuma na kibajaji huyu jamaa kaandika bonge la mesegMoja kati ya maandishi ya kijinga kukutana nayo humu jf kwa mwaka huu hii ni namba moja