Kesho Ngongo kumlipua Dkt. Bashiru

Kesho Ngongo kumlipua Dkt. Bashiru

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Wakuu heshima mbele,

Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.

Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri. Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.

Umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.

Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.

Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni. Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar wa Tanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.

Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.

Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
 
Wakuu heshima mbele,

Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.

Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri.Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.

Dr Bashiru ni mpuuzi umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.

Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.

Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni.Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar waTanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.

Mafisadi wameumizwa sana
Kila mtu atasema this time.

Teuzi chache
 
Bashiru atuachie tu chama chetu, Sasa hivi vitu bwerere sokoni bei ya kutupa vyakula bei rahisi tu kama Maharage, Mchele, Unga, Mafuta ya kupikia kila kukicha vinashuka bei ukilala njaa ni kujitakia tu.

Mafuta ya mitambo na magari yameshuka bei mpaka nauli zimepungua sababu ya Mama kuupiga mwingi mpaka unamwagika ina maana Bashiru m-CUF haoni kabisa haya mambo?

Serikali sikivu ya CCM inabana matumizi mpaka Mama yetu hata hajasafiri muda mrefu ili fedha zijenge shule na hospital pamoja na barabara za kutosha tu mara 2 ya alizoacha marehemu, yote haya hayaonekani?

Kazi za kumwaga unachagua tu mwenyewe ufanye ipi, hata mshahara unajipangia. Yaani kwa utawala wa Mama kua Jobless ni kupenda tu mwenyewe. Atuachie CCM yetu, Chama Twawala aende zake
 
Hiyo press yako itakuwa muhimu zaidi ya zote zilizofanyika kabla, hao wengine wote walikuwa wanapiga kelele tu.
 
😀 😀 😀 😀😀 Mama anatuletea mapesa kila siku kutoka ulaya, Dr. Bashiru halioni hilo, atuachie mama yetu kipenzi cha watanzania. 😀😀 #MamaYupoKazini
 
Wakuu heshima mbele,

Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.

Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri.Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.

Dr Bashiru ni mpuuzi umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.

Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.

Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni.Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar waTanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.

Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.

Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.
Hahahahaha hujatofautiana sana KIBAJAJI na Msukuma hongera kwa kutetea hoja
 
Moja kati ya maandishi ya kijinga kukutana nayo humu jf kwa mwaka huu hii ni namba moja
 
Ina maana Dr Bashiru hatuoni sisi machinga tunavyoishi kwa raha tukifurahia fursa kibao za kujiajiri zilizotolewa na serikali huku tukilipia 20,000/= kwa mwaka kama kodi yetu tukienjoy uhuru wa kufanya biashara popote na kupata kipato cha kuendesha maisha yetu?
 
Relax mkuu mara Dr.Bashiru ni mrundi (ndio zenu kuwapa watu kesi za uraia wanapoongea tofauti),mara ni sukuma Gang!sasa nashindwa kukuelewa mkuu, jibu hoja za Dr.Bashiru kwa hoja zilizo bora zaidi, acha vitisho na uzuzu
Na kweli hujamuelewa mleta uzi
 
Wakuu heshima mbele,

Kesho Dr Ngongo ataongoza mashambulizi ya nguvu kama yale makombora Himar na kumsambaratisha Dr Bashiru.

Dr Bashiru ni mjinga sana haoni Mama anavyoupiga mwingi huduma za maji zipo vizuri.Maji yapo wala wala hadi mikambare inazaliana hovyo hovyo huku mitaani kwetu.

Dr Bashiru ni mpuuzi umeme upo kila mahali tena tuna megawatts za ziada hatujui pa kuzipeleka labda Zambia au Burundi wakihitaji tutawapatia bure.

Dr Bashiru ni Mrundi asitubabaishe uchumi wetu unakua hadi tumeingia uchumi wa kati juu.Kama hamtaki waulize WB & IMF watawajuza.

Dr Bashiru ni Team Sukuma Gang tumetatua kero zote za Muungano ina maana yeye haoni.Siku hizi ajira zimetengwa kwaajili ya Zanzibar waTanganyika wameridhika au ulitaka tutenge ajira za waRundi wenzako tupishe tutakusagasaga tunaupiga mwingi.

Dr Bashiru ni CUF atuachie chama chetu pendwa.

Dr Ngongo mlamba asali mwandamizi.

Bashiru anyamaze kimya umeme wa kutosha mpaka umezidi matumizi. Maji yamejaa mpaka hakuna pa kuyapeleka. Mfumuko wa Bei wa Chini Sana kuliko miaka yote. Yaani nchi ya maziwa na asali ajira za kujaza . Vijana wote Wana ajira za kutosha. Bashiru kaa kimya, uchumi umepanda kutoka uchumi wa chini mpaka wa Kati na mikopo imepungua Sana, kwa Sasa serikali haikopi.
 
Some time hili sakata ni kama mikakati ya CCM kujaribu kupoteza maboya watu.
Sahivi kilio ni nchi nzima, sio maji, sio umeme, sio gharama za mahitaji muhimu kupanda zaidi ya maradufu, sio mbali sana kuelekea mwisho wa mwaka na ukimuuliza mtu yoyote alieko nje ya circle ya kibuyu cha asali kwamba amefanya nini cha maana mwaka huu hata kuwa na jibu.

Bado sio mbali January hii hapa ada na mahitaji ya watoto shuleni!
 
Back
Top Bottom