Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani.
Je TFF hawajaliona hili? wachezaji na mashabiki waliofunga wanafuturu SAA ngapi?
Mimi siyo mwislamu lakini najuwa adhana ikipigwa muislamu aliyefunga lazima afungulie hata kwa maji, je vipi wachezaji ambao wamefunga?
Huu ni ujinga haupaswi kufumbiwa macho.