Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

Watu wanakodi Costa zinatoka Moro,tanga,na pembezoni mwa jiji,alafu ueke mechi saa 4,si ndio mwanzo mwa ma ajali uko road,na kesho makazini watu wanatakiwa waemde
 
Hii dini kwa kulalamika
Mpira sio jambo la dini wala jambo la muhimu kwenye uislamu hata baadhi ya masheikh wanaupiga vita ,hivyo hayo ni maoni yake binafsi huwezi kukuta Sheikh wala mtu wa dini akilalamikia swala hilo.
 
Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani.

Je TFF hawajaliona hili? wachezaji na mashabiki waliofunga wanafuturu SAA ngapi?

Mimi siyo mwislamu lakini najuwa adhana ikipigwa muislamu aliyefunga lazima afungulie hata kwa maji, je vipi wachezaji ambao wamefunga?

Huu ni ujinga haupaswi kufumbiwa macho.
Morroco ni Islamic county
 
Kama ni hivyo basi na sisi Wakristo tungeandamana kupinga michezo ya ligi kuu kuchezwa siku za sikukuu za Wakristo. Mfano kwenye sikukuu ya Pasaka iliyopita, mechi zilichezwa na hakuna aliyelalamika.

Na hata kwenye sikukuu ya Christmas, zitachezwa mechi za ligi kuu! Na bado Wakristo tutachukulia kama ni jambo tu la kawaida. So kwa nini kwa Waislamu iwe ni tatizo?
Tatizo ni elimu mkuu
Wapuuze songa mbele watatukuta mbele
 
Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani.

Je TFF hawajaliona hili? wachezaji na mashabiki waliofunga wanafuturu SAA ngapi?

Mimi siyo mwislamu lakini najuwa adhana ikipigwa muislamu aliyefunga lazima afungulie hata kwa maji, je vipi wachezaji ambao wamefunga?

Huu ni ujinga haupaswi kufumbiwa macho.

Ipo siku tutaandaa mechi siku za sikukuu ya Christmas au Idd el Fitr Uwanja wa Taifa:

30 December 2022

Bodi ya Yabadili Ratiba Ya Ligi Kuu 2022 / 2023 Kupisha Mapinduzi Cup

FURAHA YA WAPENDA SOKA MECHI YA KARIAKOO DERBY, MASHABIKI WAJITOKEZA KWA WINGI KUFUATILIA KILE ROHO INAPENDA

1681648636046.png
 
Back
Top Bottom