Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

We na kitambi chako cha balimi+nguruwe ndio ungemuweza huyo shekhe?hebu jaribu siku moja uone kama hunyajea mdomoni
Kwa jinsi navowajua Waislamu, hawachelewi kujilipua au kukuchinja hvy nikawa nae makini
 
Morroco zaidi ya 90% ni Islamic, unaifananisha vipi na Tanzania? Na kwanini unataka uoneshe dini ya Kiislamu ni ya kulalamika tu kila sehemu?
Simba na yanga 50% na na sio Simba na yanga timu a ligi kuu pia ni waislamu

Je wachezaji kucheza dakika 90 wakiwa na njaa je energy na ubora wa mchezo utaonekanika shida sio kulalamika je tutaona ubora wa mchezo
 

Aiseee. Pole sana na wewe bado sana
 
Simba inawachezaji wengi sana Wakiristo watacheza na Yanga vivyo hivyo hii mechi ni kubwa na watu wanatoka mbali lazima iwekwe katika mda rafiki acha ubinafsi na dini Yako.
 
Kama ni hivyo basi na sisi Wakristo tungeandamana kupinga michezo ya ligi kuu kuchezwa siku za sikukuu za Wakristo. Mfano kwenye sikukuu ya Pasaka iliyopita, mechi zilichezwa na hakuna aliyelalamika.

Na hata kwenye sikukuu ya Christmas, zitachezwa mechi za ligi kuu! Na bado Wakristo tutachukulia kama ni jambo tu la kawaida. So kwa nini kwa Waislamu iwe ni tatizo?
 
Si chagua upande?
 
Mechi ilitakiwa ichezwe saa moja usiku ila taa za uwanja wa taifa haziaminiki kabisa
 
Alokwambia hawali nan hao wanaamka ucku nakula vyakutosha nimuda tu wakula ndio unabadilika
 
Tate Mkuu ni bahati mbaya ni shabiki wa timu ile ungekuwa unashabikia timu hii ungekuwa genius zaidi ya hapa.
Kila sehemu watu wanataka kuleta udini wakati Tanzania ni secular state hii siyo Iran
 
Mpira na dini wapi na wapi? Hivi ndo mara ya kwanza kuliona hili?
 
Unataka iwekwe saa moja Yanga wakache kwa kisingozio cha muda Kama siku ile??
 
Kama kuna mchezaji anaona kufunga kutamuathiri si yeye apumzike tu asicheze kwani tatizo liko wapi na mbona hata Ulaya hawabadili muda wa mechi kisa mfungo.

Kwanza waislamu kamili wale wenye imani kali kama akina Taliban, Al Qaeda, Isis, Al Shabab, Boko Haram, Ansar Al Din nk hawakubaliani na mambo ya michezo wanajua ni ukhafir.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…