Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

Watu wanakodi Costa zinatoka Moro,tanga,na pembezoni mwa jiji,alafu ueke mechi saa 4,si ndio mwanzo mwa ma ajali uko road,na kesho makazini watu wanatakiwa waemde
 
Hii dini kwa kulalamika
Mpira sio jambo la dini wala jambo la muhimu kwenye uislamu hata baadhi ya masheikh wanaupiga vita ,hivyo hayo ni maoni yake binafsi huwezi kukuta Sheikh wala mtu wa dini akilalamikia swala hilo.
 
Morroco ni Islamic county
 
Tatizo ni elimu mkuu
Wapuuze songa mbele watatukuta mbele
 

Ipo siku tutaandaa mechi siku za sikukuu ya Christmas au Idd el Fitr Uwanja wa Taifa:

30 December 2022

Bodi ya Yabadili Ratiba Ya Ligi Kuu 2022 / 2023 Kupisha Mapinduzi Cup

 
FURAHA YA WAPENDA SOKA MECHI YA KARIAKOO DERBY, MASHABIKI WAJITOKEZA KWA WINGI KUFUATILIA KILE ROHO INAPENDA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…