Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Chacha atawasumbua sanaKesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji.
Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini baadhi ya wanachama wametoa maoni tofauti, mwenyekiti wa tawi la wekundu terminal ameunga mkono maoni hayo wakati mweka hazina wa tawi la roho mbaya ameyapinga kwa kusema kamati imeleta maoni yanayompendelea zaidi mwekezaji hivyo hatakuwa tayari kuyapitisha.
Waliowahi kuwa viongozi wa Simba kwa nyakati tofauti wametoa maoni yao, Godfrey Nyange Kabutu amesema anaenda kuyapinga maoni hayo kwani yamemweka mwenyekiti wa Simba Kama mjumbe hivyo Hana mamlaka yoyote wakati ismai Aden Rage ameshauri swala la mabadiliko ya katiba lilitakiwa liandaliwe mkutano wake maalumu badala ya ya kuchanganua na mkutano mkuu.
Ukipitia harakaharaka hizi hoja utaona kuwa kamati ya mabadiko ya katiba iliteuliwa na Bodi hivyo lazima walinde maslahi ya mwekezaji kwani Rita walikataa kuipitisha katiba ya Simba baada ya kuona mwekezaji mwenye asilimia pungufu ana nguvu kuliko wanachama wenye asilimia nyingi.
Kitendo cha kuweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye mkutano mkuu ni kutaka wanachama wajikite kwenye katiba badala ya kuhoji kipigo kikubwa kwa siku za karibuni toka kwa mtani wao wa Hadi, dirisha la usajili limeshafungwa hivyo hawawezi kuwaleta kina manzoki kuwadanganya wanachama njia pekee ni kuleta mada itakayoleta ubishi na mkutano kuvunjika.
Simba ndio walianzisha mfumo wa mageuzi, wenzao yanga wakiangalia mapungufu yao na kuja na mfumo Bora zaidi hivyo Simba hawajachelewa bado wanayo nafasi ya kuboresha mfumo wao kwani wao ndio waasiso.
aliwahi kumiliki mbagala market (baadae akabadili jina ikaitwa african lyon), nadhan mpk leo hii timu ipo japo nadhani yeye aliuza/aliizira!Maana angeweza kuanzisha timu yake.
Na kuna kipindi alikuwa Sinhida United. WHY simba? KUNA KITU KAONA ATAPIGA PESA
Ivi yanga wametumia model gani katika katiba yao?Huu mkutano unaenda kuivuruga Simba upyaaa.
Shida kubwa kwenye hili suala zima ni kuwa Mo hawaamini waswahili katika uendeshaji wa timu na kusimamia kwa uaminifu rasilimali na pesa za klabu ndiyo maana anahakikisha ana nguvu au ushawishi fulani ndani ya klabu. Ukweli ni kuwa Simba bado haijajipambanua kuwa ina watendaji wenye weledi kiasi cha mtu kukubali kuweka mabilioni yake alafu kuwa tu mwekezaji wa 12%.
Mo mwenyewe siyo kwamba mchakato ukiisha hizo 49% atakaa nazo ndani, naye ataenda kuzigawa vipande vipande na kuziuza kwa wawekezaji wengine wakubwa.
Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wanachama wa klabu ya Simba utafanyika Jumapili, Januari 21 kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius NyerereKesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji.
Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini baadhi ya wanachama wametoa maoni tofauti, mwenyekiti wa tawi la wekundu terminal ameunga mkono maoni hayo wakati mweka hazina wa tawi la roho mbaya ameyapinga kwa kusema kamati imeleta maoni yanayompendelea zaidi mwekezaji hivyo hatakuwa tayari kuyapitisha.
Waliowahi kuwa viongozi wa Simba kwa nyakati tofauti wametoa maoni yao, Godfrey Nyange Kabutu amesema anaenda kuyapinga maoni hayo kwani yamemweka mwenyekiti wa Simba Kama mjumbe hivyo Hana mamlaka yoyote wakati ismai Aden Rage ameshauri swala la mabadiliko ya katiba lilitakiwa liandaliwe mkutano wake maalumu badala ya ya kuchanganua na mkutano mkuu.
Ukipitia harakaharaka hizi hoja utaona kuwa kamati ya mabadiko ya katiba iliteuliwa na Bodi hivyo lazima walinde maslahi ya mwekezaji kwani Rita walikataa kuipitisha katiba ya Simba baada ya kuona mwekezaji mwenye asilimia pungufu ana nguvu kuliko wanachama wenye asilimia nyingi.
Kitendo cha kuweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye mkutano mkuu ni kutaka wanachama wajikite kwenye katiba badala ya kuhoji kipigo kikubwa kwa siku za karibuni toka kwa mtani wao wa Hadi, dirisha la usajili limeshafungwa hivyo hawawezi kuwaleta kina manzoki kuwadanganya wanachama njia pekee ni kuleta mada itakayoleta ubishi na mkutano kuvunjika.
Simba ndio walianzisha mfumo wa mageuzi, wenzao yanga wakiangalia mapungufu yao na kuja na mfumo Bora zaidi hivyo Simba hawajachelewa bado wanayo nafasi ya kuboresha mfumo wao kwani wao ndio waasiso.
Wenye pesa kwanini wasiige mfano wa Bakrhes waanzishe timu zao badala ya kudandia treKama mambo ya katiba ya vilabu yanatupa changamoto hatuelewani vipi kuhusu katiba ya nchi?
Je, ni sahihi kwa aliyeseme wananchi wapewe elimu zaidi.
Hivi vilabu tuache wenye pesa waweke na kuviendesha. Kitu pekee ni kufanya viwe na hisa ili kila mtu anayetaka aimiliki.
Najua kutakuwa na minority uzuri sheria na taratibu zimewekwa kuwalinda.
Tuache hizi blah blah za chumia tumbo.
Sio chacha wako wengi tatizo tumeingiza siasa kwenye mpira Ila kitakachotokea Leo ni aibu.Mzee Chacha atawasumbua sana
Kesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji.
Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini baadhi ya wanachama wametoa maoni tofauti, mwenyekiti wa tawi la wekundu terminal ameunga mkono maoni hayo wakati mweka hazina wa tawi la roho mbaya ameyapinga kwa kusema kamati imeleta maoni yanayompendelea zaidi mwekezaji hivyo hatakuwa tayari kuyapitisha.
Waliowahi kuwa viongozi wa Simba kwa nyakati tofauti wametoa maoni yao, Godfrey Nyange Kabutu amesema anaenda kuyapinga maoni hayo kwani yamemweka mwenyekiti wa Simba Kama mjumbe hivyo Hana mamlaka yoyote wakati ismai Aden Rage ameshauri swala la mabadiliko ya katiba lilitakiwa liandaliwe mkutano wake maalumu badala ya ya kuchanganua na mkutano mkuu.
Ukipitia harakaharaka hizi hoja utaona kuwa kamati ya mabadiko ya katiba iliteuliwa na Bodi hivyo lazima walinde maslahi ya mwekezaji kwani Rita walikataa kuipitisha katiba ya Simba baada ya kuona mwekezaji mwenye asilimia pungufu ana nguvu kuliko wanachama wenye asilimia nyingi.
Kitendo cha kuweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye mkutano mkuu ni kutaka wanachama wajikite kwenye katiba badala ya kuhoji kipigo kikubwa kwa siku za karibuni toka kwa mtani wao wa Hadi, dirisha la usajili limeshafungwa hivyo hawawezi kuwaleta kina manzoki kuwadanganya wanachama njia pekee ni kuleta mada itakayoleta ubishi na mkutano kuvunjika.
Simba ndio walianzisha mfumo wa mageuzi, wenzao yanga wakiangalia mapungufu yao na kuja na mfumo Bora zaidi hivyo Simba hawajachelewa bado wanayo nafasi ya kuboresha mfumo wao kwani wao ndio waasiso.
Uongozi unapimwa mafanikio take kutokana na mafanikio ya uwanjani na nje ya uwanja, matokeo waliyopata Simba kiasi kikubwa yalichangiwa na uongozi lakini hakuna aliyewajibika zaidi ya kuwatupia lawama makocha na wachezaji. Usajili ulifanywa na viongozi hivyo so sahihi wanachama wasijadili kwanini Simba inabaki na wachezaji wazee Kama Boko au Saidoo badala ya kusajili wachezaji wazuri ambao wapo wengi.Kuna sehem moja inaonyesha pia bado wewe unaweza kuwa sehem tatizo.. unaposema kuwa unaona vingoz watataka watu wajadili katiba huku ukisema kuna jambo la kujadili ikiwemo goli 5 walizofungwa..
Yaan unataka mkutano mkuu wa club ujadili ilikuwaje kufungwa goli tano?
Kufunhwa lilikuwa swala kiufundi ambacho technical bench walitakiwa na naamin walishapeleka majibu..
Wanachama wanatakiwa kujadili
Mazingira bora ya uendeshwaji wa team ili kuhakikisha kunakuwa na maslah bora ya wachezaj na recruitment nzuri..
Sio wajadili matokeo ya uwanjan huko ni kupoteza mda..
Mkiacha siasa za mafanikio ni kumfunga yanga mtasogea ( yanga wanaonekana walishatoka huko)
Aliyeandika hivyo ni Yanga......Kuna sehem moja inaonyesha pia bado wewe unaweza kuwa sehem tatizo.. unaposema kuwa unaona vingoz watataka watu wajadili katiba huku ukisema kuna jambo la kujadili ikiwemo goli 5 walizofungwa..
Yaan unataka mkutano mkuu wa club ujadili ilikuwaje kufungwa goli tano?
Kufunhwa lilikuwa swala kiufundi ambacho technical bench walitakiwa na naamin walishapeleka majibu..
Wanachama wanatakiwa kujadili
Mazingira bora ya uendeshwaji wa team ili kuhakikisha kunakuwa na maslah bora ya wachezaj na recruitment nzuri..
Sio wajadili matokeo ya uwanjan huko ni kupoteza mda..
Mkiacha siasa za mafanikio ni kumfunga yanga mtasogea ( yanga wanaonekana walishatoka huko)
Popularity ya simba ni mtaji mkubwa sana, unaona azam anavyopambana kupata watuMaana angeweza kuanzisha timu yake.
Na kuna kipindi alikuwa Sinhida United. WHY simba? KUNA KITU KAONA ATAPIGA PESA
Taarifa ya fedha na bajeti ya klabu inazungumziwa.Mkutano unaendeleaje huko ?
KWA KIFUPI YALIYOJIRI KWENYE KIKAO CHA VIONGOZI WA MATAWI MAKAO MAKUU YA CLUB NI KAMA IFUATAVYO.Mkutano unaendelea Sasa hivi CEO anaongea
Tunataka kujua thamani ya klabu ya SimbaTaarifa ya fedha na bajeti ya klabu inazungumziwa.