Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Mkutano unaendeleaje huko ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkutano unaendeleaje huko ?
Wametumia vigezo gani kuithaminisha?
Niko KUSAKUA Mkutano Mkuu Wa Mwaka Wa Klabu Ya Simba Leo _Annual General Meeting 2023Mkutano unaendeleaje huko ?
Namba 8 ..mbn kuna makampuni ya kichina Tanzania ya ujenzi au atafuta ya unafuu?KWA KIFUPI YALIYOJIRI KWENYE KIKAO CHA VIONGOZI WA MATAWI MAKAO MAKUU YA CLUB NI KAMA IFUATAVYO.
1. Tupunguze utitiri wa matawi ili kuunganisha nguvu ya kupata matawi mengi.
2. Kila mwanachama alipie kadi kwa mujibu wa katiba ya klabu. Wanachama wote ambao hawajalipa ada ya mwaka 2022/23 kadi zao zimekufa.
3. Tawi ambalo halina wanachama hai ni tawi mfu sambamba na wanachama wasiolipa ada kwa mujibu wa katiba.
4. Inaanzishwa kadi ya Tsh. 1'000'000/- kwa mwaka
5. Kadi za benki zitaanza kutoka ndani ya siku 3 kwa Dar es Salaam na siku 5 kwa wanachama wa mikoani
6. Matawi yote makubwa yatatumika kama mawakala wa benki ya CRDB
7. Kadi zote za benki zina bima ya maisha
8. Rais wa klabu ya Yanga Mhandisi Hersi Said yupo nchini China kushughulikia mchakato wa ujenzi wa uwanja
9. Wiki ijayo timu itacheza mechi mbili za Kimataifa
10. Idara ya Masoko, matawi, wanachama na mashabiki inazunguka mikoa yote kuhamasisha ulipaji wa ada na usajili wa wanachama na mashabiki.