Kesho ni mkutano mkuu wa Simba ajenda kuu ni Katiba

Mkutano unaendeleaje huko ?
Niko KUSAKUA Mkutano Mkuu Wa Mwaka Wa Klabu Ya Simba Leo _Annual General Meeting 2023

MAPATO NA MATUMIZI NDANI YA SIMBA 2022/23

Imeingiza Tsh billioni 15.942
Imetumika Tsh billioni 15.936
Faida ni Tsh. Milioni. 5.619

BAJETI YA 2023/24 ni Tsh billioni 25.93
Imepanga kutumia Tsh billioni 25.43
Itapata faida ya Tsh Milioni. 506

Sasa ivi tunapumzika kula chakula cha mchana
 
Namba 8 ..mbn kuna makampuni ya kichina Tanzania ya ujenzi au atafuta ya unafuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…